GET /api/v0.1/hansard/entries/1243154/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1243154,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1243154/?format=api",
    "text_counter": 295,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. aibu Spika, nafikiri kuwa Seneta mwenzangu wa Azimio, ambaye ni rafiki yangu hakuelewa nilichosema. Watu wengi wanaona kama Seneta haina nguvu lakini sisi tunajua kwamba Seneti ni ‘upper’ House. Seneta wa Nairobi, rafiki yangu kutoka Azimio, kwa sababu leo sio siku ya kurusha mawe, unafaa uelewe--- Mimi nimesema kwamba watu huona kama Seneta haina nguvu lakini katika Kenya, Seneti ni ‘Upper’ House. Ninawakaribisha wote Kaunti ya Embu. Tutakuwa na watu wote wa Kenya Kwanza. Kwa hivyo, pia ninawakaribisha wafuasi wa Azimio katika Kaunti ya Embu."
}