GET /api/v0.1/hansard/entries/1243656/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1243656,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1243656/?format=api",
    "text_counter": 75,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika, ni muhimu kwa hii Kamati yetu, mimi nikiwa mmoja wa wanakamati, kuangazia suala hili. Namuona Mwenyekiti wangu yuko pale. Naomba kwamba suala hili liwajibikiwe isawasawa. Ikiwezekana, mpatie ruhusa Kamati hii iweze kuambatana na hata aliyeleta Hii Statement hapa ili kuangalia masuala haya kwa kina. Tunataka kujua kwa nini watoto wetu wakienda nchi za Uarabuni wanapata tabu kuliko nchi za ughaibuni."
}