GET /api/v0.1/hansard/entries/1243750/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1243750,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1243750/?format=api",
    "text_counter": 169,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Pengine, ifikapo mwaka ujao, ningeomba tutembee Laikipia kwa sababu ikiwa ni mambo ya ukame, ufugaji na usalama ndiyo ilikuwa inaangaziwa, basi Laikipia pia kuna ukame, ufugaji na usalama. Bw. Spika, kwa hivyo, ningeomba tukitoka Turkana tutembee Laikipia, ndio wananchi wa Laikipia waweze kuwaona viongozi wao waliobobea kama vile Sen. Ali Roba, Sen. Mandago, Sen. Cherarkey, Sen. Joe Nyutu, the bull fighter, Sen. Wamatinga, Sen. Chesang, Sen. Maanzo kutoka Makueni, Sen. Sifuna wa hapa Nairobi na Sen. Faki kutoka Mombasa. Kwa hivyo, ninashukuru kwa sababu tutaenda Turkana. Nina uhakika tutaenda Laikipia hata ijapokuwa wanasema chelewa chelewa utapata mwana si wako. Mimi nitangoja. Ninashukuru."
}