GET /api/v0.1/hansard/entries/1243757/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1243757,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1243757/?format=api",
    "text_counter": 176,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia Hoja ya kupeleka vikao vya Bunge la Seneti katika Kaunti ya Turkana. Bw. Spika, mji mkuu wa Turkana ni Lodwar ambao uko takriban kilomita 748 kutoka jiji la Nairobi. Safari ya Turkana ni ya siku mbili. Inabidi upumzike Kitale kama"
}