GET /api/v0.1/hansard/entries/1243963/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1243963,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1243963/?format=api",
"text_counter": 66,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asanta Bw. Spika. Mimi na Jimbo la Embu, tunaleta rambirambi zetu kwa familia na pia kwa Seneti na pia kwa wafanyi kazi. Mimi sijaongea na Bi. Maria sana lakini jana, mwendo was saa sita, nilikuwa ninahitaji uzaidizi wa Clerk lakini wakati nilifika pale akaniuliza kuwa ni usaidizi upi"
}