GET /api/v0.1/hansard/entries/1243965/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1243965,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1243965/?format=api",
"text_counter": 68,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "nilitaka. Nilimwambia kuwa hata yeye angeweza kunisaidia kwa sababu ilikuwa kuhusu kesi ya kushtakiwa na Personal Assistant (PA) wangu. Marehemu Maria alinielekeza kwa ofisa mwingine na tukaongea. Afisa huyo aliniambia nilete makaratasi leo ili niweze kusaidiwa. Ujembe kuhusu kifo cha Marehemu Maria uliponifikia, niliangalia picha hiyo na nikasitikika nikaona kuwa ni yule Madam niliyezungumza naye jana. Ningependa kutoa rambirambi zangu na kusema pole. Kifo kinatufunza sisi sote kwamba kinaweza kuja wakati wowote, hata kama umejiandaa kwenda kazini. Kifo kinatufunza tuwe tayari wakati wowote, iwe usiku au mchana, kwa sababu tunaweza kutoka katika ulimwengu huu. Asante sana, Bw. Spika."
}