GET /api/v0.1/hansard/entries/1243972/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1243972,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1243972/?format=api",
"text_counter": 75,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Tunamwombea kwamba safari yake iwe nyepesi. Afikapo kule katika mkono wa kiume wa Maulana, amwambie kwamba tuko safarini kutenda wema kwa walio wema na kutenda wema kwa wasio wema. Wahenga hawakukosea waliposema tenda wema nenda zako. Asante sana, Bw. Spika."
}