GET /api/v0.1/hansard/entries/1243981/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1243981,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1243981/?format=api",
"text_counter": 84,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bw. Spika. Ninatoa rambi rambi zangu kwa Bunge la Seneti, wewe, Spika wetu, Clerk wetu, wafanyikazi wenzake, jamii yake, mume wake na watoto wake. Kwa hakika ni pigo katika Bunge hili. Alikuwa mfanyikazi mzuri. Japo sikuwahi interact naye, ninasimama kutoa rambi rambi zangu. Mwenyezi Mungu amweke mahali pema peponi dada yetu."
}