GET /api/v0.1/hansard/entries/1244900/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1244900,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1244900/?format=api",
    "text_counter": 174,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii kuongezea kauli yangu juu ya taarifa iliyoletwa Bungeni na Sen. Cherarkey, Seneta wa Kaunti ya Nandi. Masaibu yanayokumba Wabunge wa Kaunti zetu ni ya kusikitisha. Ikikumbukwa kwamba ugatuzi ulikuja kuleta tofauti baina ya mabaraza ya miji yalikuwa yanahudumu wakati wa nyuma na mfumo mpya wa Serikali ambao unatumika katika nchi yetu ya Kenya."
}