GET /api/v0.1/hansard/entries/1244902/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1244902,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1244902/?format=api",
    "text_counter": 176,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, ijapokuwa sheria ilibadilishwa na ikawa fedha za county assembly na fedha za county executive ziko mbalimbali, lakini bado utapata kwamba Waziri ama Mwanakamati ambaye anahusika na mambo ya fedha za kaunti husika anahujumu utendakazi wa Bunge la Kaunti kwa sababu pesa zinazokuja kutoka kwa mfuko wa Serikali kuu sio hizo ambazo zinakwenda katika kulipa mishahara au marupurupu ya MCAs."
}