GET /api/v0.1/hansard/entries/1244904/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1244904,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1244904/?format=api",
    "text_counter": 178,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Nakubaliana na wenzangu ambao wametoa kauli kwamba swala hili lizungumzwe na Bunge nzima; kauli nzima ya Bunge hili iweze kuzamia swala hili ili wabunge wetu wa county assembly waweze kupata marupurupu ya kisawa sawa. Vile vile, SRC wapewe onyo kwamba kupunguza marupurupu haya kunahujumu ugatuzi katika nchi yetu. Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii."
}