GET /api/v0.1/hansard/entries/1245456/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1245456,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1245456/?format=api",
    "text_counter": 170,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, ningependa kumfahamisha ndugu yangu Seneta wa Elgeyo Marakwet, Sen. Kisang’ kwamba pesa ambazo tulipitisha kwa DORA ni Kshs385,425,000,000. Za maktaba haziko hapo. Waziri wa Fedha alipokuja katika Kamati yetu, alitaka kutuchanganya; alisema hizo Kshs425 milioni zilikuwa ni za kutoa huduma za maktaba ambazo zinatoka kwa Serikali Kuu zinakuja katika serikali za kaunti. Lakini, tukamwambia Kshs385,425,000,000 ndizo pesa ambazo zinakuja kama"
}