GET /api/v0.1/hansard/entries/1245507/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1245507,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1245507/?format=api",
"text_counter": 221,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa fursa hii umenipa ili nichangie Mswada wa County Allocation of Revenue Bill (CARB) ambao ni muhimu kwenye Bunge hili la Seneti. Mwaka wa 2010 kama Wakenya tulijipa Katiba mpya ambayo ilileta mfumo wa uongozi kwa ngazi mbili -- ngazi ya Kitaifa ama National Government na ngazi za kaunti ama magatuzi."
}