GET /api/v0.1/hansard/entries/1245521/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1245521,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1245521/?format=api",
    "text_counter": 235,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Nikimalizia, huu Mswada wa Fedha hautakuja kwa Bunge la Seneti. Huo Mswada uko Bunge la Kitaifa. Kama viongozi na kama Bunge la Seneti ambao tunawakilisha kaunti zetu, ni vizuri tuupinge kwa kinywa na sauti zetu zisikike ya kwamba hatutaki huo Mswada upite kwa sababu utakandamiza mama mboga na wale watu wa chini. Ninashukuru sana kwa huu muda."
}