GET /api/v0.1/hansard/entries/1249016/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1249016,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1249016/?format=api",
"text_counter": 114,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": ": Ahsante sana, Mhe. Spika. Nina swali kwa Waziri wa Elimu. Likoni School for the Visually Impaired ni shule ya wanafunzi walio na ulemavu wa macho. Kutoka Januari, hawajapata chakula na kupokea msaada wowote kutoka kwa Serikali kama kawaida."
}