GET /api/v0.1/hansard/entries/1249017/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1249017,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1249017/?format=api",
    "text_counter": 115,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Pia, shule ya Upili ya Wasichana ya Jomvu ilijengwa, lakini haina ukuta wa mzunguko. Namuuliza Waziri amewapangia nini, kwa sababu wale ni watoto wa kike na ile ni hali tata? Mahali ambapo wako kuna watu wa bodaboda na wa usafiri wengi. Ni mahali ambapo kuna shughuli nyingi. Wale Watoto wamekaa wazi kabisa kwa kuwa hawana ukuta wa mzunguko. Pia, hawana maji ya kunywa na wanahitaji maabara nyingine kwa sababu ile iko ni ndogo na haitoshi. Kama Waziri wa Elimu, umepangia nini shule hizi mbili?"
}