GET /api/v0.1/hansard/entries/1249088/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1249088,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1249088/?format=api",
    "text_counter": 186,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": ": Nataka kumuuliza Waziri swali. Mpango huu wa sodo ni mambo ya kike, na ulikuwa kwa Wawakilishi wa Wanawake wa nchi hii katika majimbo yote 47. Hizi Ksh470 milioni ambazo Mhe. Joyce Kamene ametaja hapa ni nyingi sana kutumia katika mradi huu. Kila Mwakilishi wa Wanawake ndani ya Kenya hii akipewa Ksh10 milioni, zitakuwa pesa nyingi kugawa sodo kwa kila shule katika Kenya nzima. Wizara ya Elimu haiwezani na kazi hii."
}