GET /api/v0.1/hansard/entries/1249089/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1249089,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1249089/?format=api",
"text_counter": 187,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mimi ndiye nagawanya sodo shuleni ndani ya Kaunti ya Kilifi. Hizi ni shule za msingi, sekondari, na colleges zile ndogo tunaita tertiary . Kuna wasichana wa maisha ya chini ambao hawawezi kumudu pakiti moja ya sodo. Waziri, tunakuomba ukutane na Wawakilishi wa Wanawake wote ndani ya Bunge hili ili tukupe mfumo wa vipi utatumia Ksh10 milioni kati ya hizi Ksh470 milioni kwa kila jimbo. Tutaweza kuendeleza mradi huu vizuri ili wewe ufuatane na mambo ya elimu huko kwingine. Tuwachie haya mambo ya sodo na ya kike."
}