GET /api/v0.1/hansard/entries/1249090/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1249090,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1249090/?format=api",
    "text_counter": 188,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Mhe. Spika, lingine ni kuhusu CBC. Nikuambie wazi kuwa hakuna mzazi anayetaka mfumo huu. Tusidanganyane na hizi percentages tunasikia hapa. Huu mfumo umegharimu wazazi mfuko mkubwa sana. Ni sawa mzazi anunue viazi watoto wakafundishwe kupika chips shuleni? Au mzazi anunue nyama ili mtoto akafunzwe nyama ya mbuzi ni ipi na ya ng’ombe The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}