GET /api/v0.1/hansard/entries/1249091/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1249091,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1249091/?format=api",
    "text_counter": 189,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "ni ipi? Ni sawa watoto wabebe kuku ili wakaone kuku hai kisha achinjwe? Nyama hizi hazirudi nyumbani. Wanabeba samaki ili wakafunzwe majina yao. Samaki hawa wanapikwa kule shuleni na watoto hawali. Mfumo huu umegharimu wazazi pahali pakubwa. Ukilinganisha na sasa kwa sababu kuna ile ada ndani ya Bajeti, ya three per cent kukatwa, mfumo huu hautaweza kudumishwa ndani ya Kenya hii. Mzazi akatwe three per cent iende kujenga nyumba, kisha anunue kuku, viazi na nyama apeleke kwa mwalimu? Waziri, hatutaki mfumo huu. Tafuta mbinu nyingine."
}