GET /api/v0.1/hansard/entries/124967/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 124967,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/124967/?format=api",
"text_counter": 338,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ms. Leshomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Bw. Spika, ninaomba Taarifa kutoka kwa Waziri wa Utawala wa Mikoa na Usalama wa Ndani kuhusu vita vilivyotokea jana huko Samburu. Waziri anaweza kutuambia ni watu wangapi, waliopata majeraha na ni ngâombe wangapi waliokufa jana? Pia, anaweza kujulisha Bunge hili wale waliohusika walitoka upande gani? Ni hatua gani Waziri atachukua kuhakikisha kwamba usalama unapatikana huko Samburu? Hakuna kitu kibaya kama mauaji yaliyotokea jana kule Samburu."
}