GET /api/v0.1/hansard/entries/124968/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 124968,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/124968/?format=api",
"text_counter": 339,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ms. Leshomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Pia, Waziri anaweza kuliambia Bunge watoto na akina mama walikuwa na hatia gani ili wau awe kama wanyama? Tunaongea mambo yanayohusu usalama katika Bunge kila wakati lakini hatuoni hatua zikichukuliwa za kuwasaidia Wakenya kupunguza hali ya ukosefu wa usalama, hasa katika Samburu. Kama Waziri angekuwa hapa ningemuomba atoe Taarifa ya kweli ambayo inaweza kusikika na Wakenya wote."
}