GET /api/v0.1/hansard/entries/1251950/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1251950,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1251950/?format=api",
    "text_counter": 401,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Miraj",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Juzi nilisema kwamba serikali huendelezwa. Kwa hivyo, katika legacy ambazo Rais wangu atawacha, naomba moja wapo iwe kwamba jamii ya walemavu watapata huduma ambazo wanahitaji kupata kutoka kwa Serikali ya Kenya Kwanza, ili serikali zitakazokuja zikumbatie na kusiwe na tashwishi katika maisha ya mlemavu yeyote katika taifa la Kenya. Asante, Bw. Spika wa Muda."
}