GET /api/v0.1/hansard/entries/1252409/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1252409,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1252409/?format=api",
"text_counter": 405,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika, naunga mkono Kamati ambayo imechaguliwa ili izingatie mambo ya Deputy Governor wa Siaya inavyoendelea. Nataka kukumbusha Kamati yale yaliyotekea miaka kumi kule Embu. Gavana alikuwa na Naibu wake lakini alimfinyilia hadi akawa ni kijana ambaye ni kama hana elimu yoyote. Kwa hivyo, waende waangalie na macho ya ukweli na watulete mambo ambayo itafanya hii Seneti iweze kuheshimika. Pili, nataka kumkosoa Seneta wa Azimio aliyesema ati kuna advocates ambao wanajua kazi kuliko wale wengine. Nataka kumwambia kwamba sisi wote Maseneta 67 wa Kenya ni wenye akili timamu na ni Maseneta ambao tunaweza kufanya kazi yoyote ya kuangalia vile watu wanastahili kushughulikiwa. Asante, Bw. Spika."
}