GET /api/v0.1/hansard/entries/1252850/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1252850,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1252850/?format=api",
    "text_counter": 258,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kaloleni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Paul Katana",
    "speaker": null,
    "content": "Kama ni ahadi, Serikali hii imeahidi vya kutosha. Kama ni lawama, imelaumu vya kutosha. Tunataka tu kuhakikisha kuwa gharama ya maisha inarudi chini. Katika siku za usoni, itakuwa ni vigumu hata ongezeko la watu kufanyika hapa nchini kwa sababu makapera hawana pesa za kuoa."
}