GET /api/v0.1/hansard/entries/125299/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 125299,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/125299/?format=api",
"text_counter": 670,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Shaban",
"speaker_title": "The Minister of State for Special Programmes",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": " Bw. Naibu Spika wa Muda, Kanuni za Bunge Kifungu cha 197 ndicho kinasimamia Kamati ya kufuatilizia Sheria zinazotungwa na Bunge na jukumu la kuhakikisha kuwa Sheria zinazotungwa na Bunge zinafuatwa kikamilifu na Serikali. Kwa mujibu wa Sheria za Kenya, Gazeti Rasmi la Kiserikali la Kenya ndilo linapeana ilani zote za sheria kwa Serikali kwa sababu ndilo Gazeti Rasmi la nchi yetu. Bw. Naibu Spika wa Muda, kama nilivyosema hapo awali, jambo hili limeleta"
}