GET /api/v0.1/hansard/entries/1254537/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1254537,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1254537/?format=api",
    "text_counter": 290,
    "type": "scene",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kuna Waheshimiwa ambao wamekaa hapa tangu asubuhi, na wengine tangu jana. HataMheshimiwa wa Lugari ambaye ameketi karibu na wewe amekuwa akiinua mkono kila wakati naanangojea kuzungumza. Kwa hivyo, wacha tungoje. Ukifikiwa, utazungumza. Usipofikiwa,itakuwa hivyo. (Laughter)"
}