GET /api/v0.1/hansard/entries/1254896/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1254896,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1254896/?format=api",
"text_counter": 123,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Ni kweli kwamba mambo ya pombe haramu yameathiri watu engi katika sehemu zote. Ni vizuri ijulikane wazi kwamba Serikali imejizatiti kupambana na jambo hili. Hivi majuzi, tulikuwa Nakuru kama viongozi wa Bonde la Ufa, kama ilivyokuwa ikijulikana, ili tuweza kupigana na pombe haramu. Lakini, pombe haramu isiwe kisingizio kwa polisi kuwashambulia wananchi wanaoendelea na shughuli zao za kawaida."
}