GET /api/v0.1/hansard/entries/1254900/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1254900,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1254900/?format=api",
    "text_counter": 127,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Nikiwa papo hapo, ningependa kuongelea jambo ambalo ulisema ya kwamba utataja wakati Senate Business Committee (SBC) watakapoketi. Niliangalia vikao vya kesho asubuhi; nilikuwa na maswali ambayo nilikuwa nimeuliza Waziri wa Usalama, Prof. Kindiki; swali nambari 11 na 12. Hayo maswali yamekuwa yakiahirishwa kila wakati kwa sababu Waziri amekuwa hapatikani ata ijapokuwa katika taarifa yako ulisema wanatoa sababu za kutokuja. Nashukuru kwa sababu umesema hivyo visiwe vijisababu vya mtu kuwa na shughuli nyingi kwa sababu hata kuja Seneti ni shughuli anayopaswa kuzingatia."
}