GET /api/v0.1/hansard/entries/1254901/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1254901,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1254901/?format=api",
    "text_counter": 128,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Nilitaka kujua SBC ilisema vipi kuhusu haya maswali yangu Nambari 11 na 12 kwa Waziri wa Usalama. Nikiangalia taratibu za shughuli za kesho katika Kikao cha asubuhi, maswali hayo hayako. Sijui SBC ilisema vipi kwa sababu wiki jana ulipokuwa ukitoa taarifa yako, ulisema tunaweza kutumia Kanuni za Kudumu No. 51(d) tuweze kumng’atua Waziri ambaye hatakuwa akija kujibu maswali kama inavyozingatiwa na taratibu za Bunge."
}