GET /api/v0.1/hansard/entries/1255157/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1255157,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1255157/?format=api",
"text_counter": 384,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "ambayo itakua ni kama body corporate au shirika linaloweza kushtakiwa na kuangazia mbinu za kukuza kilimo. Mswada huu umeelezea sifa au qualifications za hawa wahudumu katika hii huduma. Bi. Spika wa Muda, naunga mkono huu Mswada kwa sababu kilimo ndicho uti wa mgongo haswa kwa nchi kama Kenya. Kama kutakua na viwanda, vitakua agri-based ; viwanda kutokana na ukulima. Kwa mfano, tukiangalia Kaunti kama Makueni, wameweza mambo ya ukulima na sasa hivi kuna kiwanda cha maembe kiko kule Makueni, na kwa sababu hio, Kaunti ndiyo inazalisha maembe kwa wingi."
}