GET /api/v0.1/hansard/entries/1255341/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1255341,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1255341/?format=api",
"text_counter": 80,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika, nimeshangaa kwamba Seneta wa Nyeri ameweza kutumia lugha ambayo haistahili kutumika katika Bunge. Hata kama Waziri Moses Kuria ni Waziri wake, lugha aliotumia Sen. Wamatinga ni lugha ambayo haistahili kutumika katika Bunge."
}