GET /api/v0.1/hansard/entries/1255583/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1255583,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1255583/?format=api",
"text_counter": 322,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "wa Agriculture and Livestock Development ni, kuna uwezekano mbolea iwe inakuja mapema kabla mvua haijanyesha ili tuwe na kilimo bora? Pia, wakulima wa miraa upande wa Meru, Tharaka Nithi na Mbeere, wanastahili kupata mbolea ya bei ya chini kwa sababu sasa ni cash crop . Kwa mambo ya macadamia, unajua vile tumetaabika. Tunaomba utusaidie na bei nzuri kwa sababu hiyo yote iko kwa wizara yako. Tunaomba uandike barua ili tuweze kuuza kwa bei nafuu. Hii ni kwa sababu zamani tulikuwa tunauza kwa Kshs200, kwa sasa ni tunauza kwa Kshs20. Asante, Bw. Spika wa Muda."
}