GET /api/v0.1/hansard/entries/1255585/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1255585,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1255585/?format=api",
    "text_counter": 324,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Linturi",
    "speaker_title": "The Cabinet Secretary for Agriculture and Livestock Development",
    "speaker": {
        "id": 69,
        "legal_name": "Franklin Mithika Linturi",
        "slug": "franklin-linturi"
    },
    "content": " Bw. Spika wa muda, kama destruri na sheria hazijabadilika, wakati nilikuwa hapa, swali likiulizwa kwa kiingereza, unajibu kwa kiingereza, na likiulizwa kwa Kiswahili unajibu kwa Kiswahili. Nitajaribu kujibu swali la Sen. Munyi Mundigi. Ni kweli, kama serikali, tunajaribu vile tutakavyoweza ili tulete mbolea kwa wakati unaofaa. Hii ni kwa sababu hata ukosefu wa mbolea kwa siku moja ama mbili unaadhiri mazao. Kwa hivyo, huu msimu wa July hadi October, tumeweka mikakati ili kuhakikisha ghala zetu zina mbolea ya kutosha. Nitajaribu iwezekanavyo ili iweze kufika kwa wakati. Nakumbuka vile ulisema tulipokuwa kule Embu juu ya mambo ya macadamia. Tunaangalia pia vile tutafanya. Hata Mwenyekiti ya Kamati ya Kilimo ya Seneti ameniambia ako na njia ya kusuluhisha hii shida. Ukweli ni kwamba, ile shida tuliyo nayo ni kuwa macadamia hayachukuliwi. Wale walikuwa wamekusanya wameshindwa kuuza nje kwa hivyo hawana mahali pa kuweka. Napanga kupea leseni kwa wale wame"
}