GET /api/v0.1/hansard/entries/1255587/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1255587,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1255587/?format=api",
    "text_counter": 326,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Linturi",
    "speaker_title": "The Cabinet Secretary for Agriculture and Livestock Development",
    "speaker": {
        "id": 69,
        "legal_name": "Franklin Mithika Linturi",
        "slug": "franklin-linturi"
    },
    "content": "ili waweze kupeleka macadamia nje ya nchi ili watengeneze ile nafasi ya kuweza kununua hayo mengine. Ili kuchunga mkulima, nimepeana ruhusa kwa Mwenye kiti wa Agriculture Food Authority (AFA) kuenda China na maafisa wengine kuangalia soko ili tusiwe tunapea watu ambao wanapata bei iko juu zaidi na wanakuja kuuzia wakulima wetu kwa bei iliyo chini. In another 10 days, haya mambo nitakuwa nimemalizana nayo."
}