GET /api/v0.1/hansard/entries/1255598/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1255598,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1255598/?format=api",
    "text_counter": 337,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Linturi",
    "speaker_title": "The Cabinet Secretary for Agriculture and Livestock",
    "speaker": {
        "id": 69,
        "legal_name": "Franklin Mithika Linturi",
        "slug": "franklin-linturi"
    },
    "content": "Ninataka pia kusema ya kwamba tumejipanga vizuri na fertilizer itakuwepo ya kutosha na pia kwa bei ya chini. Hakuna kitu kingine ambacho mimi ninataka mnisaidie sana ndugu zangu, kama si kurudisha watu kwa mashamba ili tuzalishe chakula. Wale wengine tuwaombee wajue tuko na jukumu la kuzalisha chakula kama taifa. Mambo mengine ya kucheza na maisha ya Wakenya tuwachane nayo."
}