GET /api/v0.1/hansard/entries/1257684/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1257684,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1257684/?format=api",
    "text_counter": 135,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Ninatambua kwamba nchi yetu ya Kenya ni ya ukulima ama agricultural country . Maana tumetegemea ukulima wa aina mbili. Kuna wale wakulima wa Tingatinga na wale wasiojiweza wanalima kwa majembe. Kuna wale wengine wanaolima kimaskini zaidi. Kama sisi wengine tulipokuwa tukikua zamani, na hadi mpaka sasa, kilimo kama hicho kinaendelea huko Kilifi. Akina mama zetu huwa wanalima na kiserema. Yaani nguvu za mkono ndizo zitakazo kulisha. Ukilima shamba lako na upande bidhaa zako, utapata mavuno. Umuhimu wa Mswada huu ni kwamba ni lazima Serikali yetu ijukumike na ijihusishe zaidi. Tunataka walete vitu kama mbolea ili wakati wa upandaji wa hiki"
}