GET /api/v0.1/hansard/entries/1257686/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1257686,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1257686/?format=api",
    "text_counter": 137,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "chakula, tuweze kupata kwa wingi zaidi. Tuone ya kwamba chakula cha kutosha kipatikana kirahisi. Pili, hata ukienda kwa daktari, kama afya yako si nzuri, unaambiwa ule ndengu, ama mboga. Hii ni mojawapo wa vyakula ambavyo vinaweza kuleta nguvu. Kwa hivyo, ni muhimu Serikali iweze kujihusisha zaidi na kusaidia wakulima. Nina hakika kuwa hakuna mahali popote nchini ambapo ndengu haziwezi kumea. Serikali iweze kupeana mkono wake na kusaidia wakulima wa ndengu. Sio kusaidia wakulima wa kahawa na majani chai peke yake. Wakisaidika, mazao yao yatakuwa bora na watapata mafanikio, ajira na waweza kulisha taifa letu chakula kitakapotosha kwa wananchi wetu wa Kenya. Asante Bw. Spika."
}