GET /api/v0.1/hansard/entries/1257850/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1257850,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1257850/?format=api",
    "text_counter": 301,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, anaendelea kusema kwamba soko ya hawa wakulima wa ndengu inapaswa iangaliwe na ilindwe. Mkulima hutumia wakati wake mwingi kulima shamba lake. Baada ya kulima, wale walaghai ambao huwa katikati ya mkulima na yule ambaye atatumia chakula hiki, anaingilia kati. Unapata ya kwamba mkulima anagandamizwa kwa sababu hata bei anayouza bidhaa yake ni hafifu. Unampata huyu mkulima hawezi hata kujikimu kimaisha."
}