GET /api/v0.1/hansard/entries/1257851/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1257851,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1257851/?format=api",
    "text_counter": 302,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, nikiuangalia Mswada huu kwa kindani utaona ni Mswada ambao unapendekeza kilimo-biashara. Namshukuru Seneta kwa sababu amezingatia haya mambo. Anaendelea kusema kunapaswa kufanywe utafiti wa kutosha na kujulikane kabisa ni wakulima wangapi wanaokuza mimea hii. Ikijulikana ni wakulima wangapi, itakuwa rahisi sana kujua wakati tunatafuta soko zetu, tunatafuta soko za kiasi gani ya ndengu yetu."
}