GET /api/v0.1/hansard/entries/1257852/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1257852,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1257852/?format=api",
    "text_counter": 303,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Nilimsilikiza Sen. (Prof.) Kamar akimuuliza maswali mwanafunzi wake, Sen. Wambua; “Itawezekanaje sasa kwa sababu mipaka imefunguliwa, mbegu zikatoka Tanzania na Uganda zikauzwa hapa kwetu Kenya?” Lakini, nikiangalia Mswada huu unavyopendekeza naona kwamba ukulima wetu utakuwa umefanywa kwa bei nafuu. Kwa hivyo, ndengu zozote zikiletwa kutoka nchi jirani, hazitaweza kushindana kwa bei na ndengu zetu. Wanaoagiza ndengu kuto nje wataona hii itakuwa kazi bure."
}