GET /api/v0.1/hansard/entries/1257853/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1257853,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1257853/?format=api",
    "text_counter": 304,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Hana shida yoyote na ndengu ambazo zinatoka nchi ya nje. Lakini anasema tutakuwa tukijua kiasi cha ndengu ambacho tuko nacho. Anaendelea kusema kujulikane wale wanunuzi watakaonunua kwa idadi kubwa ni akina nani. Sina shaka rohoni yangu kuwa Mswada huu umezingatia mambo mengi. Hata nimemsikia Sen. Thang’wa akiuliza kwa nini hakukuwekwa maharagwe ya kawaida. Lakini, maharagwe yanajullikana. Nakubaliana na Sen. Wambua kwa kusema hangetaka kuleta mimea mingine kajadiliwa katika Mswada huu kwa sababu ingeleta vurgu. Yeye alitaka mmea huu wa ndengu uangaziwe pekee yake katika Mswada huu."
}