GET /api/v0.1/hansard/entries/1259165/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1259165,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1259165/?format=api",
    "text_counter": 67,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Magogo. Ukiwaona hivi sasa utasikitika. Wengine wao walifariki wakiwa maskini. Tegemeo la wale wengine ni kutufikia tunapoenda nyumbani. Yafaa kuwe na mipango kabambe ili kukitokea jambo lolote wanaweza kuangaliwa kwenye Maisha yao na"
}