GET /api/v0.1/hansard/entries/1259167/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1259167,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1259167/?format=api",
"text_counter": 69,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "ili waishi kama watu wengine katika hali yao ya uzee. Tunachukua kigezo kutoka kwa dada yetu Faith. Sisi tuko tayari ikiwa mipango tutaifanya sawa sawa tukishirikiana na ndugu yangu, Kiongozi wa Waliowengi, Sen. Cheruiyot, kuhakikisha huyu dada amefika hapa na tumpee heshima ndani ya Bunge letu la Seneti."
}