GET /api/v0.1/hansard/entries/1259171/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1259171,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1259171/?format=api",
"text_counter": 73,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Kwa hivyo, isikuwe hata taarifa hii ambayo imeletwa hapa na Sen. Sifuna, Seneta wa Nairobi, itakuwa ni ya kawaida. Tutasema ni mambo ya moto halafu baada ya miezi mitatu tena kutaletwa taarifa nyingine. Itaonekana na wananchi wakenya kama sisi tunakuja hapa tu kuongea na kuongea bila vitendo vyovyote. Kwa hivyo, Kamati ambayo itakayo pewa hii jukumu wasifanye tu utafiti pekee yake lakini walete suluhu la kudumu ndio Wakenya waweze kupata suluhu kutoka kwa Seneti na waweze kutushukuru kwa kazi ambayo tunafanya nzuri. Bw. Spika, nashukuru kwa kunipa fursa hii."
}