GET /api/v0.1/hansard/entries/1259207/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1259207,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1259207/?format=api",
"text_counter": 109,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Kingi",
"speaker_title": "The Speaker",
"speaker": null,
"content": " Waheshimiwa Maseneta, kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu No.45(2) ya Seneti, ningependa kupangua Utaaratibu Wa Shuguli za Seneti hivi leo. Kwa hivyo, ukiangalia katika Utaaratibu Wa Shughuli utakuta kwamba tukitoka katika shughuli za Kauli, tunaenda katika mipangilio ya Shughuli No.8, 9 na 10. Nitapangua utaaratibu huu. Tutaanza na Shughuli No.17 halafu baadaye tutarudi 9 na 10. Tukimaliza hizo shughuli tatu, tutarudi katika mipangilio kama vile ilivyo orodheshwa katika shughuli za Bunge za hivi leo."
}