GET /api/v0.1/hansard/entries/1259299/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1259299,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1259299/?format=api",
"text_counter": 201,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii. Nasimama kuunga mkono Hoja iliyoletwa na ninawapongeza Sen. Mungatan na Sen. (Prof.) Kamar kwa kazi nzuri ambayo wamefanya. Sijasahau kuwa hawa ni wazoefu na wajuzi katika maneno ya utunzi wa sheria pamoja na utetezi wa wananchi."
}