GET /api/v0.1/hansard/entries/1259550/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1259550,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1259550/?format=api",
"text_counter": 452,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Vilevile, wakulima wengine wanaopatiwa cushion kwamba wakilima lazima watapata zile pesa kidogo walizotumia, basi katika kutengeneza sera na sheria za huu mmea, ni vizuri kuwe na kanuni kama hizo. Kuna soko kubwa katika shule zetu. Mara ya kwanza kusikia kuhusu ndengu ilikuwa nikiwa kijana mdogo. Nilikua na binamu yangu ambaye alikua anasoma Shule ya Upili ya Wavulana ya Alliance, ambako walikua wanapikiwa ndengu. Tuko na jina la ndengu kwa Kitaita. Kwa hivyo, shule nyingi hupika ndengu. Serikali ikinunua hii ndengu, inaweza kupeana kwa mashule kupitia kwa School"
}