GET /api/v0.1/hansard/entries/1259552/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1259552,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1259552/?format=api",
"text_counter": 454,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Niliona gavana wa Kaunti ya Jiji la Nairobi, ambaye tulikua na yeye kwenye Kamati ya Leba na Ustawi wa Jamii, jana akizindua mpango wa chakula kwa shule zote. Mpango huu ukiingia kwa shule zote nchini, ndengu itapata soko, kisha wananchi wetu watanufaika kutokana na kilimo cha ndengu."
}