GET /api/v0.1/hansard/entries/1259553/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1259553,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1259553/?format=api",
"text_counter": 455,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Bw. Spika, naona muda wangu unaisha. Kuna mamlaka au Authority ambayo imebuniwa ili kudhibiti ama kuendeleza ukuzaji wa ndengu. Hoja hii imeeleza sifa za watu wanaofaa kuwa katika mamlaka haya, pamoja na kazi ambayo watafanya. Hivyo basi, sitarudia. Hata hivyo, kuwepo kwa mamlaka utakuwa mpango mzuri utakaoshirikisha serikali za kaunti kwa sababu kilimo kimegatuliwa; na Serikali ya Kitaifa kwa sababu sera hutengenezwa na Waziri wa kitaifa."
}